- 262 viewsDuration: 1:45Zaidi ya shule 14 za msingi kutoka wadi ya Chesikaki eneo bunge la Mlima Elgon kaunti ya Bungoma zimepokea vitabu vya hadithi fupi vitakavyowasaidia wanafunzi wa gredi ya 2 na 3 kufahamu kusoma kingereza. Hatua ya kutoa msaada huo wa vitabu kwa shule mbalimbali iliafikiwa baada ya kubainika kuwa wanafunzi kutoka shule zilizolengwa hawakuwa na uwezo wa kusoma wala kuandika kando na kupiga jeki juhudi za mtaala mpya wa elimu CBE.