Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya vitambulisho 8,500 bado vimesalia katika afisi za usajili katika Kaunti ya Embu

  • | Citizen TV
    337 views
    Duration: 1:46
    Zaidi ya vitambulisho 8,500 bado vimesalia katika afisi za usajili katika Kaunti ya Embu, hali inayozua wasiwasi kuhusu mchakato wa vijana kujisajili kama wapigakura. Tume Huru ya Uchaguzi inakumbana na changamoto ya kuafikia malengo ya usajili wa wapiga kura ya 30% katika siku ya kumi. Maeneo ya Mbeere South na Runyenjes yamerekodi kiwango cha chini cha usajili Eneo Bunge la Manyatta likisajili asilimia 40.5 ya watu. Maafisa wa utawala wa eneo hilo wameagizwa kuimarisha juhudi za uhamasishaji ili kuhakikisha waliojiandikisha kupata vitambulisho wamevichukua na kusajiliwa kama wapigakura.