Zaidi ya wakenya 17,000 washiriki kwenye mbio za Mater Heart Run

  • | KBC Video
    5 views

    Zaidi ya Wa-Kenya 17,000 leo walishiriki mbio za kila mwaka za Mater Heart Run, ambayo ni shughuli ya kitaifa inayonuiwa kuchangisha pesa za kuwasaidia watoto wenye matatizo ya moyo wanaotoka katika familia masikini. Mbio hizo ambazo sasa zinashuhudiwa kwa mwaka wa 23, zilianzishwa kwenye jengo la mikutano ya kimataifa la - KICC, zikiwaleta pamoja washiriki wenye lengo moja la kuhakikisha watoto wenye matatizo ya moyo wanapata matibabu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive