Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya watu 60 wahofiw kufa katika ajali ya treni Uhispania

  • | BBC Swahili
    8,906 views
    Duration: 37s
    Makumi ya watu wanahofiwa kufariki dunia baada ya treni ya mwendo kasi nchini Hispania kugongana na treni nyingine kusini mwa mji mkuu, Madrid. Picha za eneo la tukio zinaonyesha mabehewa kadhaa yametoka kwenye reli, huku vipande vya mabaki ya treni vikitawanyika katika eneo kubwa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw