8 Oct 2025 1:51 pm | Citizen TV 502 views Duration: 1:32 Serikali ya kaunti ya Tharaka Nithi sasa imeanzisha mpango wa kusajili kina mama wajawazito kama utaratibu wa kuweka mikakati ya kuwashughulikia kutoka wakati wanaposhika ujauzito hadi watakapo jifungua.