Skip to main content
Skip to main content

Zoezi la kutafuta miili ya watu wawili linaendelea siku ya pili katika eneo la Makueni

  • | Citizen TV
    3,077 views
    Duration: 4:02
    Zoezi la kutafuta miili ya watu wawili waliouawa na mamba katika mto Athi, kijiji cha Nzeveni kaunti ya Makueni yaingia siku ya pili .Wawili hao Musenya wambua mwenye umri wa miaka 38 na Kyumbu makau wa umri wa miaka 22 walishambuliwa na mamba na kufikia sasa miili yao haijapatikana.