- 1,112 viewsDuration: 6:28Shughuli ya kuutafuta mwili wa mlinzi wa pili kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka mtaani Eastleigh bado linaendelea. Hapo jana, mwili mmoja uliondolewa maafisa wa vitengo mbali mbali vya asasi ya serikali kuwajibika kwa siku mbili.