24 Nov 2025 10:34 am | Citizen TV 421 views Duration: 1:52 Shirika la kulinda na kuhifadhi wanyamapori nchini KWS limeanza zoezi la kuweka vifaa vya kiteknolojia kwa vifaru katika hifadhi maalum ya vifaru iliyoko Ngulia Tsavo magharibi.