31 Mar 2026 1:13 pm | Citizen TV 387 views Duration: 1:23 Zoezi la usajili wa wapigakura kwa wingi umeingia siku ya pili leo huku ,Kaunti ya Kitui ikilenga kusajili wapiga kura elfu 60,000 kwa muda wa mwezi moja.