
744 views
Mjane apata mumewe tayari amezikwa licha ya kesi mahakamani
Kizaazaa kimetokea Manyatta, Kaunti ya Embu, baada ya mjane na watoto wake kufika kwenye mazishi ya mumewe na kupata tayari amezikwa. Patashika hiyo imeshuhudiwa baada ya familia ya Simon Ndwiga kufanikisha mazishi yake kabla ya saa tatu asubuhi ya leo. Mkewe Mercy Wanja aliwasili katika boma la mumewe na kupata kaburi lake tayari limefunikwa. Haya yanajiri baada ya familia ya marehemu kupata idhini ya mahakama ya kumzika, licha ya kesi iliyowasilishwa na Wanja ya kuzuia mazishi hayo, miezi miwili tangu mumewe afariki.
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti