
312 views
Hatma ya watahiniwa 12 wa KCSE Kitonyini mikononi mwa KNEC
Hatma ya watahiniwa 12 wa KCSE sasa iko mikononi mwa Baraza la Kitaifa la Mitihani, KNEC, kufuatia madai kuwa walipatikana na simu za rununu wakati wa mtihani. Wanafunzi hao wa Shule ya Upili ya Kitonyini, Kaunti ya Machakos, tayari wamefukuzwa shuleni huku uchunguzi ukiendelea. Na kama anavyoarifu Maryanne Nyambura, wanafunzi hao sasa wanasubiri kujua iwapo wataendelea na mtihani.
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti