
1,200 views
Mamia ya watu wanakadiria hasara baada ya kukumbwa na mafuriko
Mamia ya familia kutoka sehemu mbali mbali wanakadiria hasara kufuatia mvua kubwa inayoendelea kote nchini. Katika kaunti ya Turkana, zaidi ya familia hamsini zimesalia bila makao baada ya nyumba zao kujaa maji. Na Huko Tana River, zaidi ya mifugo mia mbili walisombwa na maji.
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti