
41 views
Katiba wa Usalama Raymond Omollo aonya wanaowabaka watoto
Katibu wa Usalama Dkt. Raymond Omollo, ameonya kuwa serikali haitawasaza wabakaji wa watoto wachanga. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kituo cha polisi cha Makutano, eneo la Yatta, Kaunti ya Machakos, Omollo ameelezea kugadhabishwa na hatua zinazolenga kutatua uhalifu huo kupitia mazungumzo na kutaka wahusika wote kushtakiwa mahakani kukumbana na mkono wa sheria.
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti