
1,248 views
Watu wanne wafariki baada ya ukuta kuporomoka eneo la Riverside
Watu wanne wamefariki baada ya ukuta kuporomoka katika eneo la Riverside Square jijini Nairobi. Uchunguzi umeanzishwa kubaini chanzo cha mkasa huo huku wafanyakazi walionusurika wakisema kulikuwa na ukiukaji wa usalama wao kazini na kupuuzwa kwa taratibu za ujenzi. Mary Muoki anatufungulia Niapshe kwa taarifa hiyo.
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti