
1,711 views
Ruto awashutumu wapinzani kwa kutaka kuvuruga IEBC
Rais William Ruto amewakosoa viongozi wa upinzani akisema wanatafuta mbinu za kusambaratisha Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC). Rais alirejelea kizaazaa kilichoshuhudiwa katika mkutano wa IEBC na wadau wa kisiasa, akisema wapinzani wanatafuta tu visababishi vya kuvuruga maandalizi ya uchaguzi.
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti