
621 views
Coca-Cola yazindua msafara wa Krismasi jijini Nairobi
Kampuni ya Coca-Cola imezindua rasmi msafara wake wa Krismasi jijini Nairobi kwa mbwembwe na shamrashamra za sikukuu. Hafla hii ya uzinduzi iliyopambwa na milio ya fataki na burudani ndiyo mwanzo wa msafara wa kueneza heri njema za sikukuu na Krismasi. Mkurugenzi wa masoko wa Coca-Cola, Monique Katana, akisema kampuni hiyo inafanya juhudi na kuendelea kukuza vipaji vya Kenya. Safari hii iliyojumuisha burudani na viwanjari ilianza Narok leo na itaendelea sehemu mbalimbali nchini.
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti