
814 views
Upinzani wataka marekebisho ya sheria ya uchaguzi
Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka, sasa anasema upinzani umeandaa mswada wa marekebisho ya sheria ya uchaguzi, anaosema utahakikisha taifa uchaguzi mkuu ulio huru na wa haki. Akiwaongoza vinara wenzake kutaka kikao kingine na tume ya uchaguzi wiki hii, wanasiasa hawa wa upinzani wamesema ni lazima marekebisho yafanyike, ikiwa IEBC inanuiwa kusimamia uchaguzi wa kuaminika. Kamau Mwangi anaarifu
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti