
37 views
Wafanyabiashara 2,000 wapatiwa mafunzo ya kilimo kujizalishia mboga wanazouza
Wafanyabiashara zaidi ya 2,000 wa mboga kutoka kaunti za Nandi, Uasin Gishu na Trans Nzoia wamepatiwa mafunzo ya kilimo yanayolenga kuwawezesha kujizalishia bidhaa wanazouza badala ya kutegemea kununua kutoka kwa wakulima wengine.
- Kamati ya bunge kuhusu utawala yajadili matumizi ya fedha
- Wauguzi na wakunga waandamana Nairobi kudai malipo ya pensheni ya shilingi bilioni 20
- EACC kutangaza majina ya wanasiasa wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi kabla ya uchaguzi wa 2027
- Watu wenye ulemavu na watetezi wa haki wapinga mapendekezo ya mabadiliko ya kodi ya mapato nchini
- Kampuni ya China ya Itel Energy yazindua vituo vya kuzalisha va kuhifadhi umeme Kenya
- Wasanii chipukuzi Samburu kupata studio ya kisasa ya muziki ya shilingi milioni 26
- Vijajna watakiwa kutumia mitandao ya kijamii kukuza ajenda za uongozi badala ya chuki
- Kiongozi wa wengi Kilifi Ibrahim Abdi apuuza kurejea kwa Aisha Jumwa katika chama cha UDA