
13 views
Kamati ya bunge kuhusu utawala yajadili matumizi ya fedha
Kamati ya Utawala na Usalama wa Ndani inajadili Sera ya matumizi ya Bajeti ya 2027 kwa Mashirika kadhaa ikiwemo ya ikulu na ofisi ya naibu rais.
- Wauguzi na wakunga waandamana Nairobi kudai malipo ya pensheni ya shilingi bilioni 20
- EACC kutangaza majina ya wanasiasa wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi kabla ya uchaguzi wa 2027
- Watu wenye ulemavu na watetezi wa haki wapinga mapendekezo ya mabadiliko ya kodi ya mapato nchini
- Kampuni ya China ya Itel Energy yazindua vituo vya kuzalisha va kuhifadhi umeme Kenya
- Wafanyabiashara 2,000 wapatiwa mafunzo ya kilimo kujizalishia mboga wanazouza
- Wasanii chipukuzi Samburu kupata studio ya kisasa ya muziki ya shilingi milioni 26
- Vijajna watakiwa kutumia mitandao ya kijamii kukuza ajenda za uongozi badala ya chuki
- Kiongozi wa wengi Kilifi Ibrahim Abdi apuuza kurejea kwa Aisha Jumwa katika chama cha UDA