
39 views
Vijajna watakiwa kutumia mitandao ya kijamii kukuza ajenda za uongozi badala ya chuki
Huku joto la kisiasa linapoendelea kupanda, vijana wametakiwa kuepuka kutumia mitandao ya kijamii kueneza chuki, badala yake kuitumia kujipigia debe na kutangaza sera zao wanapowania nyadhifa za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao. Wakizungumza baada ya kuandaa kongamano la siku moja mjini Kitale, vijana hao walisisitiza umuhimu wa mitandao ya kijamii katika kuimarisha ushiriki wa vijana katika uongozi.
- Kamati ya bunge kuhusu utawala yajadili matumizi ya fedha
- Wauguzi na wakunga waandamana Nairobi kudai malipo ya pensheni ya shilingi bilioni 20
- EACC kutangaza majina ya wanasiasa wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi kabla ya uchaguzi wa 2027
- Watu wenye ulemavu na watetezi wa haki wapinga mapendekezo ya mabadiliko ya kodi ya mapato nchini
- Kampuni ya China ya Itel Energy yazindua vituo vya kuzalisha va kuhifadhi umeme Kenya
- Wafanyabiashara 2,000 wapatiwa mafunzo ya kilimo kujizalishia mboga wanazouza
- Wasanii chipukuzi Samburu kupata studio ya kisasa ya muziki ya shilingi milioni 26
- Kiongozi wa wengi Kilifi Ibrahim Abdi apuuza kurejea kwa Aisha Jumwa katika chama cha UDA