
55 views
Huduma za matibabu zatatizika Turkana kufuatia mgomo wa maafisa wa kliniki
Shughuli za matibabu zimetatizika katika kaunti ya Turkana baada ya wanachama wa muungano wa maafisa wa Kliniki , kuandamana wakishinikiza serikali ya kaunti ya Turkana kutatua haraka malalamishi yao ya muda mrefu.
- Mchuano wa soka wa taifa Super Cup waanza leo katika uwanja wa serani kaunti ya Mombasa
- Viongozi wa Kenya Kwanza Bonde la Ufa washambulia upinzani kwa kususia mazungumzo na IEBC
- Viongozi Nyanza washtumu ODM kwa kudunisha vyama vingine
- Kenya yaanza kuchagua wawakilishi wa kupanga mwelekeo ya maendeleo baada ya 2030
- Wazazi Trans Nzoia watakiwa kuwajibika kuzuia ongezeko la watoto wa mitaani
- Wazazi watakiwa kuwalinda watoto dhidi ya dhuluma wakati wa likizo
- Kaunti ya Trans Nzoia yazindua kituo cha kuwasaidia waathiriwa wa dhuluma za kijinsia
- Wakazi Lokichar wataka usalama kuimarishwa kabla ya usafirishaji wa mafuta ya Turkana kuanza