
548 views
IEBC yatilia shaka upeperushaji wa matokeo ya uchaguzi wa 2027 kwa gharama za juu
Tume ya uchaguzi na mipaka iebc sasa inasema huenda ikashindwa kupeperusha moja kwa moja matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, kwa sababu ya gharama ya juu ya shughuli hiyo. Akizungumza alipokutana na wanahabari wa masuala ya siasa nchini, mwenyekiti wa iebc erastus ethekon pia alisisitiza kwamba hakuna sheria kwa sasa ambayo inaruhusu upeperushaji wa matokeo hayo baada ya mahakama ya rufaa kufutilia mbali sehemu hiyo ya sheria.
- Mchuano wa soka wa taifa Super Cup waanza leo katika uwanja wa serani kaunti ya Mombasa
- Viongozi wa Kenya Kwanza Bonde la Ufa washambulia upinzani kwa kususia mazungumzo na IEBC
- Viongozi Nyanza washtumu ODM kwa kudunisha vyama vingine
- Kenya yaanza kuchagua wawakilishi wa kupanga mwelekeo ya maendeleo baada ya 2030
- Wazazi Trans Nzoia watakiwa kuwajibika kuzuia ongezeko la watoto wa mitaani
- Wazazi watakiwa kuwalinda watoto dhidi ya dhuluma wakati wa likizo
- Kaunti ya Trans Nzoia yazindua kituo cha kuwasaidia waathiriwa wa dhuluma za kijinsia
- Wakazi Lokichar wataka usalama kuimarishwa kabla ya usafirishaji wa mafuta ya Turkana kuanza