
90 views
Joyful Women yaadhimisha miaka 17 ya kuwawezesha wanawake kiuchumi nchini Kenya
Shirika la Joyful women linaadhimisha miaka 17 tangu kuasisiwa na mkewe rais Bi rachel Ruto. Shirika, hilo huwawezesha wanawake kiuchumi ambapo limesajili wanachama zaidi ya 250,000 kufikia sasa katika kaunti zote 47. hafla hiyo inafanyika katika ikulu ya nairobi.
- Mchuano wa soka wa taifa Super Cup waanza leo katika uwanja wa serani kaunti ya Mombasa
- Viongozi wa Kenya Kwanza Bonde la Ufa washambulia upinzani kwa kususia mazungumzo na IEBC
- Viongozi Nyanza washtumu ODM kwa kudunisha vyama vingine
- Kenya yaanza kuchagua wawakilishi wa kupanga mwelekeo ya maendeleo baada ya 2030
- Wazazi Trans Nzoia watakiwa kuwajibika kuzuia ongezeko la watoto wa mitaani
- Wazazi watakiwa kuwalinda watoto dhidi ya dhuluma wakati wa likizo
- Kaunti ya Trans Nzoia yazindua kituo cha kuwasaidia waathiriwa wa dhuluma za kijinsia
- Wakazi Lokichar wataka usalama kuimarishwa kabla ya usafirishaji wa mafuta ya Turkana kuanza