
670 views
Mwanamke bomba: Rose Oduor: Mama aliyeshinda changamoto ya ulemavu na kuwa dereva wa teksi
Changamoto za maisha mara nyingi husababisha watu wengi kukata tamaa maishani. Lakini Rose Odour alimua kupambana na kutoruhusu aliyoyapitia kumrudisha nyuma. Licha ya kukatwa mguu kutokana na ugonjwa wa kisukari, mama huyo mwenye umri wa miaka 52, anafanya kazi ya dereva wa teksi za mtandaoni. Kazi hiyo imemwezesha kujitafutia riziki na kuikimu familia yake. Katika makala ya Mwanamke Bomba tunamvisha taji Rose Oduor.
- CAS yathibitisha ubingwa wa Senegal wa AFCON 2025
- Familia ya Mtwapa yamsaka mwanafunzi wa miaka 13 aliyetoweka
- Wakazi wa Syokimau wazozana na polisi wakishinikiza ukarabati wa barabara
- Ruto aongeza Sh5 bilioni kwa hazina ya Hustler
- IEBC yataja gharama na vikwazo vya kisheria kuhusu kutangaza moja kwa moja matokeo ya urais 2027
- UNSA President Ahmed Rashid responds after video showing him and goons manhandling people emerges
- KNH health workers down tools over salary delays and welfare grievances
- Ogamba launches 52-member task team to address rising school unrest