
299 views
Familia ya Mtwapa yamsaka mwanafunzi wa miaka 13 aliyetoweka
Familia moja eneo la Mtwapa inamsaka mtoto wao mwenye umri wa miaka 13 aliyetoweka mwezi mmoja uliopita. Nistens Mwangi Ihiga, mwanafunzi wa Gredi ya Saba, alitoweka baada ya kutumwa dukani. Mfuko aliokuwa nao ulipatikana umbali wa mita 80 kutoka nyumbani kwao, ndani ya jengo ambalo bado halijakamilika.
- CAS yathibitisha ubingwa wa Senegal wa AFCON 2025
- Mwanamke bomba: Rose Oduor: Mama aliyeshinda changamoto ya ulemavu na kuwa dereva wa teksi
- Wakazi wa Syokimau wazozana na polisi wakishinikiza ukarabati wa barabara
- Ruto aongeza Sh5 bilioni kwa hazina ya Hustler
- IEBC yataja gharama na vikwazo vya kisheria kuhusu kutangaza moja kwa moja matokeo ya urais 2027
- UNSA President Ahmed Rashid responds after video showing him and goons manhandling people emerges
- KNH health workers down tools over salary delays and welfare grievances
- Ogamba launches 52-member task team to address rising school unrest