
136 views
Timu saba zashiriki mashindano ya soka kuhamasisha vita dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa wasichana
Jumla ya timu saba zilishiriki mashindano ya soka ya siku moja yaliyolenga kuhamasisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia miongoni mwa wasichana. Mchuano huo wa soka ya wachezaji sita kwa kila upande, ulioandaliwa na East Africa Women’s League katika shule ya Loreto Convent hapa Nairobi, ulilenga kuwaunganisha wasichana waliopitia aina mbalimbali za ukatili wa kijinsia, katika juhudi za kuwajengea matumaini mapya na kuwahamasisha kukabiliana na changamoto za maisha.
- FKF na Red Cross zaingia mkataba wa Sh54 milioni kuboresha huduma za dharura uwanjani
- Wakazi eneo la Magwagwa kaunti ya Nyamira walalamikia ukosefu wa umeme
- Rais Ruto akutana na Rais wa Ujerumani kujadili ushirikiano wa kibiashara
- Mwenyekiti IEBC Erastus Ethekon ataka vyama kuzingatia kanuni za uchaguzi mkuu wa 2027
- Linda Mwananchi Party Leader Edwin Sifuna engages Kenyans in the diaspora in Maryland, USA
- Chama cha ODM chapokea wanachama wapya
- Taarifa ya muungano wa wananchi wa mageuzi ya uchaguzi
- Jukwaa la Afya: Aya ya mama na mtoto [Part 2]