
25 views
Wizara ya Afya sasa yatetea agizo lake la kuzitaka hospitali zote za umma kuondoa nambari ya Paybill
Wizara ya Afya sasa imetetea vikali agizo lake la kuzitaka hospitali zote za umma kuondoa nambari ya Paybill ikisema hatua hiyo inakinzana na malengo ya afya kwa wote kupitia mpango wa bima ya afya ya jamii, yaani SHA. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
- The Beauty Benefits of Chocolate and Champagne for Your Skin: The Glam
- Mafunzo ya kiufundi yawapa vijana njia mbadala za kujiajiri na kupata ajira
- Wadau wa Riadha walaani ongezeko la matumizi ya dawa za kititimua misuli miongoni mwa wanariadha
- Kamera za CCTV zamnasa mbunge akichukua simu ya mwenzake na kuiweka mfukoni katika jengo la Bunge
- Kenya, Ujerumani zatia saini hati ya makubaliano kuwezesha Wakenya kupata ajira nchini Ujerumani
- Viongozi wakuu katika ODM wasema ushirikiano wao na UDA utaendelea
- Viongozi wa upinzani wasusia mkutano wa pili uliopangwa kufanyika leo kati yao na IEBC
- Mahakama ya watoto ya Tononoka yampata Mhubiri Paul Mackenzie na hatia ya ukatili dhidi ya watoto