
2 views
Wakulima langobaya wakumbatia ufugaji wa samaki kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi
Wakulima katika eneo la Langobaya, kaunti ya Kilifi, wameanza kukumbatia ufugaji wa samaki kama njia mbadala ya kujipatia mapato na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Haya yanajiri kufuatia kuanzishwa kwa mradi wa ukuzaji wa samaki unaolenga kuwasaidia wakulima wadogo wadogo kuboresha maisha yao na kuimarisha usalama wa chakula. Wakulima wanasema mabadiliko ya misimu ya mvua yameathiri uzalishaji wa mazao kama mahindi, huku gharama za kutumia maji kutoka mto Sabaki kwa ajili ya unyunyizaji zikiendelea kuwa changamoto.
- Editors urged to promote responsible political reporting and fight misinformation ahead of 2027 elec
- Police clearance certificate processing time reduced from 14 days to 15 minutes as NPS launches biom
- Dig eliud langat commissions 229 member quick response unit in Garissa to boost security
- Nacada enlists boda boda riders in Kirinyaga county to strengthen war against drugs &illicit alcohol
- Mespt unveils five-year climate resilience strategy targeting 500,000 farmers and value chain actors
- Government raises alarm over high gbv cases in Kisii as 16 days of activism launches
- Murang’a county launches five-year nutrition action plan to tackle malnutrition