- 298 viewsDuration: 1:22Kama juhudi za kuwapa nafasi nyingine tena katika jamii, vijana kutoka maeneo ya watamu na shella wamepokea pesa za kuboresha shughuli zao za kandanda sambamba na kuwapiga jeki katika kuimarisha ubora wa mashindano ya soka maeneo hayo kaunti ya kilifi.