- 3,277 viewsDuration: 23sMlipuko mkubwa ulitokea ndani ya duka la viatu vya michezo huko Surabaya, Indonesia. Polisi wamesema watu watano walipelekwa hospitalini baada ya tukio hilo. Wanashuku kuwa mlipuko huo ulisababishwa na kuvuja kwa gesi. Polisi pia wamesema hawakukuta vilipuzi au vitu vingine vya kutia shaka eneo la tukio. Mlipuko huo uliharibu pia majengo kadhaa yaliyokuwa karibu na duka hilo. #bbcswahili #indonesia #mlipukoindonesia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw