Skip to main content
Skip to main content

Afghanistan: Mtoto wa miaka 5 aokolewa kwenye kisima cha mita 70

  • | BBC Swahili
    22,669 views
    Duration: 50s
    Mtoto wa miaka mitano ameokolewa baada ya kuanguka kwenye kisima chembamba chenye kina cha mita 70 nchini Afghanistan. Mtoto wa miaka 11 alishushwa ndani ya kisima ili kumfunga kamba na kusaidia kumtoa salama. #bbcswahili ##Afghanistan #watoto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw