Skip to main content
Skip to main content

Agnes Kahamba: Kwa nini ameamua kupigania haki za wanawake na watoto?

  • | BBC Swahili
    6,317 views
    Duration: 2:17
    Agnes Suleiman Kahamba (@aggybaby_), kupitia shirika lake lisilo la kiserikali la @tupazesauti_foundation, amekuwa akipambana dhidi ya ukatili wa kijinsia, ndoa na mimba za utotoni, huku akijihusisha pia na kuwawezesha vijana na wanawake kiuchumi na kijamii. Mwandishi wa BBC, @nyaza.halima, amemuuliza Agnes, ambaye pia ni mwigizaji wa tamthilia, kwa nini ameamua kujikita katika harakati hizi. #bbcswahili #waridiwabbc #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw