Skip to main content
Skip to main content

Anna Lunguya: Mtaalamu wa kompyuta aliyeikacha fani yake na kugeukia mitindo

  • | BBC Swahili
    5,551 views
    Duration: 9:06
    Mwaka 2014, alihitimu shahada ya Computer Science akiwa na matumaini ya kupata kazi katika taaluma aliyosomea. Hata hivyo, hali ya soko la ajira ilimlazimu kutafuta njia nyingine ya kujikimu. Badala ya kukata tamaa, aliamua kugeukia kipaji alichokuwa nacho tangu akiwa shuleni, ubunifu wa mavazi. #bbcswahili #tanzania #waridiwabbc Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw