Skip to main content
Skip to main content

Askofu auawa kanisani Nakuru

  • | KBC Video
    4,020 views
    Duration: 2:56
    Hofu, mshangao na huzuni zimewagubika wakazi wa mtaa wa Lanet eneo la Bahati kaunti ya Nakuru, baada ya mhubiri kuuawa katika kanisa. Kasisi Julius Ndumia anadaiwa kushambuliwa na watu wasiojulikana waliovamia parokia ya Tabuga ya kanisa la PCEA huko Lanet Jumapili usiku. Na kama anavyoripoti John Kahiro, wakazi wamekashifu utawala wa eneo hilo kwa kukosa kuchukua hatua kukomesha uhalifu uliokithiri. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive