- 17,723 viewsDuration: 1:31Asmara, mji mkuu wa Eritrea, unachukuliwa kuwa moja ya maeneo yenye usiri mkubwa zaidi duniani. - Katika ziara adimu nchini humo, mwandishi wa habari alitembelea Eritrea na kushuhudia maisha ya kila siku katika mji mkuu huo, wakati mvutano wa kivita ukiongezeka katika nchi jirani ya Ethiopia. - Sarafina Robi anaelezea undani wa mji huo - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw