- 17,004 viewsDuration: 32sMtazame Tatiana-Mosio Bongonga akitembea kwenye waya takriban mita 91 juu ya ardhi bila mkanda wa usalama, katika onesho la kuenzi historia ya uchimbaji madini nchini Ufaransa. Mwanamichezo huyo ametembea kwenye waya uliowekwa kati ya vilima viwili virefu vya mabaki ya uchimbaji madini barani Ulaya, katika mji wa Loos-en-Gohelle, Ufaransa. #bbcswahili #ufaransa #tatinamosio Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw