- 76,980 viewsDuration: 1:35Kuchepuka na mke wa mtu kumegharimu faini ya shilingi milioni 10 pesa ya Tanzania, mfanyabiashara wa Tabora! Mwaka 2021, mume alidai kumfumania mke wake na mfanyabiashara huyo kwenye mazingira ya uzinzi. Ushahidi uliopelekwa mahakamani na fidia ya awali ikawekwa hadi TSh milioni 200. Lakini mfanyabiashara hakukubali, akakata rufaa. Mahakama iliamua nini? Na kwa nini milioni 200 zikageuka kuwa milioni 10? Mwandishi wa BBC @frankmavura ametuandalia taarifa tazama video hadi mwisho kujua kilichotokea kwenye kesi hii. #bbcswahili #tanzania #haki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw