Skip to main content
Skip to main content

Baada ya kukaa bandarini kwa miaka 8, meli ya miaka 113 yafufuka

  • | BBC Swahili
    60,977 views
    Duration: 2:52
    Iliyokuwa meli ya kivita ya Ujerumani, ikazamishwa kwa makusudi mwaka 1916, kisha kufufuliwa na kugeuzwa kuwa chombo cha usafiri wa abiria na mizigo, MV Liemba imerejea majini, ikiwa na historia ya zaidi ya karne moja inayovutia. Je, ni urithi wa kihistoria unaopaswa kuhifadhiwa au meli ya kuendelezwa kwa usafiri wa kisasa? Mwandishi wa BBC @frankmavura ameiangazia kwa kina meli hiyo. #bbcswahili #tanzania #MVLiemba Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw