Skip to main content
Skip to main content

BBC Africa Eye: Waombolezaji waliuawa na Kikosi cha Polisi wa Kenya

  • | BBC Swahili
    3,387 views
    Duration: 2:31
    BBC Africa Eye imebaini ushahidi unaoashiria kuwa waombolezaji watatu walipigwa risasi na kuuawa na kikosi maalumu cha polisi kinachomlinda Rais, wakati wa hafla ya kitaifa ya kumuaga aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga. Kutazama makala hii kwa urefu tafuta 'Kwa Heri Raila' hapa hapa kwenye Youtube ya BBCSwahili, #RailaOdinga #bbcswahili #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw