- 16,178 viewsDuration: 2:16Tume ya uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Rais Yoweri Kaguta Museveni kama mshindi wa uchaguzi akiwa na jumla ya kura 7,946,772 ambayo ni asilimia 71.65% ya kura zote zilozopigwa. Mpinzani wake wa karibu Robert Ssentamu Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine alikuwa wa pili, akiwa na jumla ya kura 2,741,238 au asilimia 24.72% Ushindi wa Museveni unamaanisha kwamba ataongeza muda wake wa miaka 40 madarakani kwa miaka mingine mitano. Je aliingiaje Ikulu? #bbcswahili #uganda #yowerimuseveni Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw