- 3,460 viewsDuration: 1:39Kijana wa Rwanda, Isidole Niyigirimpuhwe, ameibuka na ubunifu unaobadili sekta ya ufugaji wa kuku kwa kutengeneza mashine za kisasa za kutotolesha mayai zinazotumia umeme wa kawaida na nishati ya jua. Teknolojia hiyo inalenga kupunguza utegemezi wa vifaranga vinavyoagizwa kutoka nje ya nchi na kuongeza uzalishaji wa ndani. Isidole pia analenga kupanua soko la mashine hizo ndani ya Rwanda na katika nchi nyingine za Afrika. Mwandishi wa BBC, @yvesbucyana, ametuandalia taarifa hii. - - #bbcswahili #ufugaji #ufugajikuku #UfugajiBora #Rwanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw