Skip to main content
Skip to main content

BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    20,752 views
    Duration: 1:17
    Mwanamfalme Edward Rukidi Kijanangoma Nyabongo II, anatarajiwa kutawazwa kuwa mfalme wa Ufalme wa Tooro nchini Uganda. Edward Kijanangoma, atatawazwa katika Kasri la Karuziika mjini Fort Portal. @bosha_nyanje anaelezea zaidi #bbcswahili #uganda #mfalmewatooro Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw