- 109,793 viewsDuration: 1:49Marais na viongozi kadhaa wanatarajiwa kufika Lamu, Kenya, kuzindua ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha bilionea wa Nigeria, Aliko Dangote. Kiwanda hicho kinatarajiwa kupunguza utegemezi wa Afrika Mashariki kwa mafuta ya kuagiza na kusaidia kushusha bei. Hata hivyo, wakazi wa Lamu wamepinga mradi huo wakitaja masuala ya fidia na mazingira. Dangote na Rais William Ruto wamesema ujenzi utaendelea kama ulivyopangwa.Mwandishi wa BBC Peter Mwangangi ana maelezo zaidi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw