- 77,463 viewsDuration: 1:14Mgomo wa madereva wa mabasi nchini Tanzania umeingia siku ya pili, hali bado ni tete katika Stendi ya Mabasi Magufuli, jijini Dar es Salaam, huku madereva wakisema bado hawajaridhishwa na hatua zilizochukuliwa na Serikali kuhusu madai yao. Madereva hao walianza mgomo Jumanne, Septemba 29, 2026, wakishinikiza kutatuliwa kwa madai yao, likiwamo suala la kukatwa pointi, kufungiwa madereva na kuondolewa kwa leseni zao kwenye mfumo. #bbcswahili #usalamabarabarani #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw