Skip to main content
Skip to main content

Biashara I Benki ya Co-operative yanakili faida maradufu

  • | KBC Video
    86 views
    Duration: 2:49
    Benki ya Cooperative imejipatia faida ya shillingi billioni 8.4 katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza yam waka huu ambayo ni nyongeza ya faida ya hadi asilimia asilimia 21.3.Faida hiyo ilitokana na nyongeza ya asilimia 12.2 ya jumla ya mapato hadi shilling billioni 15.98.Kwa habari hizi na zigine hapa ni mkusanyiko wa habari za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive