- 167,344 viewsDuration: 2:16Mfanyabiashara maarufu Wicknell Chivayo ameripotiwa kufariki dunia baada ya helikopta binafsi aliyokuwa akisafiria pamoja na abiria wengine watano kuanguka nchini Zimbabwe Jumatano Septemba 30. Leillah Mohamed ana muelezea kwa undani #bbcswahili #zimbabwe #chivayo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw