- 16,188 viewsDuration: 1:17Katika tukio lisilo la kawaida, mamlaka ya nchini Peru zimewakamata raia watatu wa kigeni waliokuwa wakijaribu kusafirisha kimagendo zaidi ya buibui 3,000 aina ya tarantula, wakiwa wamewaficha ndani ya soksi kwenye mizigo yao. Buibui pamoja na mayai ya buibui, yalinaswa uwanja wa ndege wakati washukiwa hao wakijiandaa kupanda ndege kuelekea Ujerumani. Lakini kwa nini walikuwa wakisafirisha buibui hao? Phillys Mwatee 🎥: @brianmala #bbcswahili #fyp #peru #buibui Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw