- 2,926 viewsDuration: 22sChoo kilichotengenezwa kwa dhahabu ya karati 18 kimeuzwa kwa dola milioni 12 katika mnada wa Sotheby’s, baada ya ushindani mkali wa wanunuzi kuifanya bei kupanda kutoka dola milioni 5 hadi milioni 12. Choo hicho, kilichopewa jina la “America”, kinafanya kazi kikamilifu na awali kilionyeshwa katika maonesho ya sanaa kama ishara ya utajiri, anasa na matumizi makubwa ya fedha. Mnunuzi aliyeshinda hakutaka kutajwa jina na choo hicho sasa kinatarajiwa kuhifadhiwa katika eneo lenye ulinzi mkali. Je unaweza kutumia choo cha dhahabu cha dola milioni 12? #bbcswahili #choochadhahabu #chooamerica Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw