Skip to main content
Skip to main content

Christa Pike mahututi baada ya kunusurika sindano mbili za kifo

  • | BBC Swahili
    70,368 views
    Duration: 1:58
    Mfungwa wa Tennessee anayekabiliwa na adhabu ya kifo, Christa Pike, yuko mahututi hospitalini akipatiwa matibabu ya kuokoa maisha baada ya kunusurika majaribio mawili ya kunyongwa kwa sindano yenye sumu, tukio lililosababisha gavana wa jimbo hilo kusitisha utekelezaji wote wa adhabu za kifo kwa mwaka huu. Je ilikuwaje mpaka akafikia kuhukumiwa Kifo? @mrs.tadicha anaeleza #bbcswahili #christapike #hukumuyakifo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw