Skip to main content
Skip to main content

Clara Luvanga aandika historia Marekani kwa bao la ushindi dakika za mwisho

  • | BBC Swahili
    11,061 views
    Duration: 39s
    Clara Luvanga ameandika historia nchini Marekani! Mshambuliaji huyo amekuwa Mtanzania wa kwanza kufunga katika ligi ya NWSL, akifunga bao la ushindi dakika ya 84 na kuipa Washington Spirit ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Houston Dash. Je, huu ni mwanzo wa mafanikio makubwa zaidi kwa Luvanga? #bbcswahili #tanzania #claraluvanga Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw